WHAT'S SO HOT?

HATUA ZA MWANZO KUELEKEA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA SERIKALI YA MUSO

wagombea urais wa MUSO; wakiwa katika ukumbi wa SAMORA Chuoni MZUMBE wanasikiliza kwa makini mwongozo wa kufanya kampeni kutoka kwa mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi., Wagombea ni Mh.Magige kutoka kushoto; Mh. Ngatunga katikatiwana pamoja na Mh.Alfred mwanzo kutoka kulia.








VIDEO YA UMATI MKUBWA UKIWA UMEFURIKA KATIKA UKUMBI WA SAMORA WAKATI WA KAMPENISIKILIZA







MGOMBEA URAIS MH. MAGIGE  AKIWA NA MAKAMU WAKE BIBI CATHELINE WAKITOA SERA ZAO KWA WANACHUO MZUMBE.



MGOMEA MWENZA WA MH.MAGIGE ; BIBI CATHELINE AKITOA SERA ZAKE KWA WANACHUO WA MZUMBE.


MH. NGATUNGA AKITOA SERA ZAKE AKIWA NA MGOMBEA MWENZA WAKE BIBI; HELLEN



MH.ALFRED AKIWA NA MGOMBEA MWENZA WAKE BIB; PENINA WAKITOA SERA ZAO MBELE YA UMATI MKUBWA WA WANACHUO KIKUU MZUMBE.




MAHOJIANO MAFUPI NA WAZIRI WA MIKOPO MSAAFU WA SERIKALI YA MUSO 2014/2015. MH. ELI KITOKA KATIKA VIWANJA VYA IKULU YA MUSO.






WANAFUNZI WAKIWA WAMEFULIKA KATIKA UKUMBA WA SAMORA JANA WAKATI WA MDAARO KWA WAGOMBEA URAIS MWAKA 2015|2016.






YALIYOJILI BAADA YA KUTOKA UKUMBINI.







The crowd of students in smaller groups gathered outside SAMORA HALL curiously awaiting for the MUSO election results few minutes before last release.




The majority students gathered inside SAMORA HALL humbly waiting to hear WHAT'S Up! to the election results.





And at last, ALFRED SALWA is raised to be the new president of the MUSO students government








FOR SO MUCH MORE ON THE ELECTION-PROCEEDINGS, WE SHALL INFORM YOU AS SOON AS POSSIBLE!

2 comments: