This is the campus network committed to create a Social Life that gives room for students to share several persuaded information on issues taking place within and outside our campus. The Loyal media is eager to express our LOYALTY by transforming MZUMBE UNIVERSITY, to a new era where universities posses their own medias..
Saturday, 14 February 2015
Monday, 9 February 2015
UCHAGUZI WA CCM-VIJANA TAWI CHUO KIKUU MZUMBE.
Mtangaji wa The loyalmedia.blogspot.com, MARIM MWAMBASHI akifanya mahojino mafupi na Mh. ISSAKWISA MWAKAMOJA mgombea nafasi ya mwenyekiti wa balaza la vijana CCM, tawi maalum Chuo Kikuu MZUMBE.
Mtangaji wa The loyalmedia.blogspot.com, MARIM MWAMBASHI akifanya mahojino mafupi na Mh. MKALI MIRAMBO mgombea nafasi ya mwenyekiti wa balaza la vijana CCM, tawi maalum Chuo Kikuu MZUMBE.
Mtangaji wa The loyalmedia.blogspot.com, MARIM MWAMBASHI akifanya
mahojino mafupi na Mh. MWAJABU HASHIMU mgombea wa nafasi ya Mweka Hazina wa balaza la vijana CCM tawi maalum MZUMBE.
Picha ya umati mkubwa wa wanafunzi waliokusanyika siku ya kupiga kura kuchagua viongozi mbalimbali katika balaza la vijana, UVCCM tawi maalum MZUMBE.
Mtangaji wa The loyalmedia.blogspot.com, MARIM MWAMBASHI akifanya mahojino mafupi na Mh. MKALI MIRAMBO mgombea nafasi ya mwenyekiti wa balaza la vijana CCM, tawi maalum Chuo Kikuu MZUMBE.
Mtangaji wa The loyalmedia.blogspot.com, MARIM MWAMBASHI akifanya
mahojino mafupi na Mh. M.NELKANA mgombea nafasi ya sera na uhamasishaji katika la vijana CCM, tawi maalum Chuo Kikuu MZUMBE.
Wagombea katika ngazi ya mwenyekiti wa balaza la vijana tawi maalumu MZUMBE. Kulia ni Mh. MKALI MIRAMBO, katikati ni Mh. Eusedius NGATUNGA, na kushoto ni Mh. ISSAKWISA MWAKAMOJA.
Picha ya umati mkubwa wa wanafunzi waliokusanyika siku ya kupiga kura kuchagua viongozi mbalimbali katika balaza la vijana, UVCCM tawi maalum MZUMBE.
Subscribe to:
Posts (Atom)